AL AHLY TUNAMTOA KWENYE MASHINDANO/SIMBA TUNAINGIA NUSU FAINAL/TUNAMFUNGA 4G/LAZIMA WAKAE
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC,Ahmed Ally ametembelea Tawi la New Mapambano Group Temeke mwisho,ikiwa ni hamasa kuelekea mchezo wa Machi 29,2024 wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly,utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa .