ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA DKT. MAGUFULI-MAKONDA
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda ametoa kauli hiyo wakati wa mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwenye Uwanja wa Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Machi 26, 2024