MAYOR WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO AKAGUA MAFUNZO YA MAKARANI WA SENSA.
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mhe. Pascal Kihanga akizungumza baada ya kutembelea na kuona maendeleo ya Mafunzo ya Makarani wa Sensa Agasti 7 mwaka huu